MWANAUME SULUHISHO LA NGUVU KWA VITU ASILIA
Asubuhi🌅
Kunywa maji lita moja kisha kaa saa 1 kunywa Asali iliyochanganywa na Mdalasini Weka ndani ya maji ya vyuguvugu.Tumia kama chai unaweza kutumia na kitafunwa chochote hama mkate.
Mchana🌞
Chukuwa ndizi 6 kubwa kisha kula saa 1 kabla ya chakula cha mchana.
Jioni🌄
Kula matunda unayoweza kupata kama machungwa au maparachichi.
Usiku🌑
Kwa unataka kuongeza urefu wa uume chukuwa maziwa fresh glass 1,kisha changanye na punje 12 za vitunguu swaumu.Kisha kunywa na tafune hizo punje kwa wakati mmoja.nusu saa kabla ya chakula cha usiku.
Kwa anaetaka kuongeza nguvu za kiume atachukuwa tangawizi atakatakata vipande kisha atachemsha na kunywa kama chai kikombe kimoja, nusu saa kabla ya chakula cha usiku
Leave your comment if this quotes is helpful.
Comments
Post a Comment